Wikipedia:Babel
sw-3 Mtumiaji huyu aweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.
Mtumiaji huyu anatokea Kenya.
Mtumiaji huyu ni Mwanachama wa
Wikipedia.

Jina langu ni Alex Wafula. Nafanya kosi ya shahada ya biashara na information teknolojia katika chuo kikuu cha Strathmore.

Nimeamua kushiriki katika shindano hili ili kuboresha utumiaji wa Kiswahili katika intaneti


KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Strathmore.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)