Mudhihir Mohamed Mudhihir

Mudhihir Mohamed Mudhihir (amezaliwa tar. 1 Januari 1950) alikuwa mbunge wa jimbo la Mchinga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Amehitimu Shahada ya Sheria katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Mudhihir Mohamed Mudhihir". 17 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.