Mumias Sugar FC ilikuwa klabu ya kandanda nchini Kenya iliyoanzishwa mwaka wa 1977 na makao ilikuwa mjini Mumias. Uwanja wake wa nyumbani ulikuwa Mumias Sports Complex. Ilikuwa mwanachama wa zamu wa divisheni ya juu zaidi katika kandanda ya Kenya, lakini klabu hii ilivujwa katikati mwa msimu wa 2007

Mumias Sugar FC
Logo
Rangi nyumbani

Klabu hii ilishinda Kombe la Rais miaka ya 1996 na 1999, ingawa ushindi wa pili ulitupiliwa mbali kutokana na kashfa ya udanganyifu wa mechi

Klabu hii ilikuwa inamilikiwa na Mumias Sugar Company.

Majalio hariri

  • Kombe la Rais
1996, 1999

Utendaji katika mashindano ya CAF hariri

  • Kombe la CAF la washindi:Tokeo 1
1971: Raundi ya kwanza
  • Kombe la CAF : Tokeo 1
1999 - Raundi ya Kwanza

Tanbihi hariri