Mutiu Adepoju (alizaliwa 22 Desemba 1970) ni mwanasoka wa zamani wa Nigeria ambaye alicheza zaidi kama kiungo mshambuliaji.[1]

Mutiu Adepoju

Ushiriki Katika Klabu hariri

Adepoju ni Mzaliwa wa Ibadan, Adepoju (ambaye pia anaitwa kwa jina lake la kwanza nchini Uhispania) aliondoka Nigeria mnamo 1989 na kujiunga na klabu bingwa ya Real Madrid.[2][3]

Ushiriki Kimataifa hariri

Adepoju alikuwa mwanachama wa timu ya Nigeria U20 iliyocheza katika Mashindano ya Dunia ya Vijana ya FIFA ya 1989. Mabao yake mawili dhidi ya Marekani katika nusu fainali ilihakikisha fainali dhidi ya Ureno, kushindwa 2-0.

Marejeo hariri

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mutiu Adepoju kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.