Nabii Yoeli (kwa Kiebrania יואל, Yoel, maana yake YHWH ni Mungu) alikuwa nabii wa Israeli ya Kale, labda katikati ya karne ya 4 KK.

Nabii Yoeli alivyochorwa na Michelangelo katika kuta za Cappella Sistina, Vatikano.

Ujumbe wake unapatikana katika gombo la Manabii Wadogo la Biblia, kwa jina la Kitabu cha Yoeli.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huwa tarehe 19 Oktoba[1][2] lakini pia tarehe 13 Julai.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nabii Yoeli kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.