Nadhiri za daima ni zile zinazowekwa hadi kufa, tofauti na nadhiri za muda ambazo mara nyingi zinawekwa kama maandalizi au jaribio kabla ya zile za daima katika mashirika ya kitawa[1][2].

Mtawa akiwa amelala kifudifudi wakati wa kuombewa kabla hajaweka nadhiri za daima.

Kadiri ya Mkusanyo wa Sheria za Kanisa la kilatini, muda huo ni kuanzia miaka 3 hadi 6[3].

Kwa kawaida nadhiri hizo zinahusu mashauri ya Kiinjili ya useja mtakatifu, ufukara na utiifu.

Tanbihi hariri

  1. "Code of Canon Law, canon 657". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-26. Iliwekwa mnamo 2007-10-13.
  2. http://www.newadvent.org/cathen/12451b.htm
  3. "Code of Canon Law, canon 655". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-26. Iliwekwa mnamo 2007-10-13.

Marejeo hariri

  • Columba Marmion, Christ the Ideal of the Monk (ch. VI "Monastic Profession")
  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nadhiri za daima kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.