Naghenjwa Livingstone Kaboyoka

Mwanasiasa kutoka Tanzania ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Naghenjwa Livingstone Kaboyoka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Same Mashariki kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017