Naishero ni mto wa msimu, umepita maeneo ya Wilaya ya Nanyumbu na Masasi.

Nje kidogo ya mji wa Mangaka humwaga maji katika Mto Ruvuma.