Naomi Ng'ang'a

Muigizaji na mtayarishaji wa vipindi vya redio toka kenya

Naomi Wambui Ng'ang'a (mara nyingine hufaHamika kwa jina la Neomi Ng'ang'a; amezaliwa 5 Oktoba 1987) ni mwigizaji, mtayarishaji na mtangazaji wa vipindi vya redio nchini Kenya.

Maisha ya awali hariri

Alikulia Huruma Nairobi.

Kazi hariri

Alianza kuonekana kwenye tasnia ya burudani katika filamu ya Tahidi High. Uhusika wake katika filamu hii ndio uliompa umaarufu. Mwaka 2011, alikuwa mmojawapo wa wahusika wakuu katika maonyesho ya televisheni ya, Demigods.[1] Mwaka 2013, alikuwa mmoja kati ya wahusika wanne kwenye soap opera, Sumu la penzi.[2] Alishiriki pamoja na Serah Ndanu, Avril Mwangi na Joyce Maina. Mwaka 2014 alikua mhusika katika filamu ya Fundi-Mentals.[3] kutoka mwezi wa saba 2015, ni muandaaji wa StarTimes Swahili talk show, Sema Nami.[4] tofauti na kuwa msanifu wa televisheni , pia ni mtangazaji wa redio One FM.[5][6]

Filamu hariri

Filamu na Televisheni hariri

Mwaka Kazi Uhusika Maelezo Chanzo
???? Tahidi High Mhusika wa kawaida
2008  – 11 Wash and Set Mhusika mkuu
2010  – 11 Noose of Gold Madeline Mhusika mkuu
2011 Demigods Mhusika mkuu [1]
Shattered 65-year-old woman Filamu
2011-2014 Lies that Bind Mama Sweetie Mhusika wa kawaida [7]
2013–present Sumu la penzi Ama Mhusika mkuu [8]
2014 Fundi-Mentals Mhusika mkuu
2014 Risper Mrs. Tembo Maonyesho ya mtandaoni
2015–mpaka sasa Sema Nami Pekeyake Mtayarishaji [9]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "Demigods". kenyantelevisionproductions.blogspot.com. Iliwekwa mnamo October 10, 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Unmasking Sumu la Penzi's femmes fatales". spielworksmedia.com. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Check out photos from the Fundi-mentals movie premier in Nairobi". kiss100.co.ke. Kiss FM. February 18, 2015. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-19. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "Curvaceous One FM presenter lands TV talk show". niaje.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-29. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "Sexy Sumu La Penzi actress lands a job at One FM". ghafla.co.ke. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-05. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "Neomi Ng'ang'a is new face of Wambui Mukenyi". ghafla.co.ke. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-28. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  7. "Lies that Bind Naomi Ng'ang'a". spielworksmedia.com. Iliwekwa mnamo November 26, 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  8. "Sumu La Penzi". giftedkidskenya.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo December 22, 2015. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  9. Tonny Ndung'u. "Sema nami". ghafla.co.ke. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-06. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Naomi Ng'ang'a kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.