Napf ni mlima wa Alpi katika nchi ya Uswisi (Ulaya).

Msalaba kileleni pa mlima wa Napf

Urefu wake ni mita 1,407 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Napf kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.