Naruhito
Naruhito (徳仁, inatamkwa naɾɯçi̥to (alizaliwa 23 Februari 1960) ni Mfalme wa Japani tangu 1 Mei 2019.
Naruhito | |
126 Kaisar ya Japani
| |
---|---|
Aliingia ofisini 1 Mei 2019 | |
mtangulizi | Akihito |
tarehe ya kuzaliwa | 23 Februari 1960 Tokyo |
utaifa | Japan |
ndoa | Masako |
dini | Shinto |
Angalia pia hariri
Tanbihi hariri
Viungo vya nje hariri
- Tovuti rasmi ya wafalme na malkia wa Japan
- Mkutano na waandishi wa habari kukumbuka siku ya kuzaliwa kwake(2017)
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Naruhito kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |