Nazeer Allie (amezaliwa 23 Mei 1985 huko Cape Town ni mchezaji wa soka wa Afrika Kusini anayecheza kama beki wa kulia kwenye Premier Soccer League, klabu ya Cape Town Spurs, na timu ya taifa ya Afrika Kusini.

Maisha ya awali hariri

Nazeer Allie ameishi katika nchi ya afrika kusini pamoja na masomo alikua akijihusisha na mchezo(mpira wa miguu), katika kipindi chake chote cha masomo.Baada ya kuwa ni kijana hodari katika soka la vijana chipukizi huko afrika kusini,ndipo klabu ya Ajax cape Town , walipo msajili katika klabu hiyo mnamo mwaka 2000,katika kipindi hicho aliweza kuipatia timu hiyo magoli(2). Baada ya hapo kutokana umahiri wake katika klabu hiyo kuipatia mafanikio kama beki wa timu,ndipo klabu ya Bidvest Wits, walipo msaini kijana huyo mnamo mwaka2015 kama beki wa timu ndipo baadae mnamo mwaka 2022 mpaka saivi anaichezea klabu ya cape Town spurs,akiwa ni beki mahiri wa timu yake.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nazeer Allie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.