Ndau ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha Rote. Eneo la kisiwa ni 8.6 km². Watu wakaao kisiwani kwa Ndau huongea Kidhao.

Sehemu mojawapo katika Kisiwa cha Ndau
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.