Neringa ni manispaa na mji nchini Lituanya. Kuna wakazi 2,400 (mwaka 2001). Mji ulianzishwa 1607.

Nyumba ya kijijini katika Neringa

Jiografia hariri

Eneo lake ni 90 km². Iko kando ya Bahari ya Baltiki.

 


Viungo vya nje hariri



  Makala hii kuhusu "Neringa" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Neringa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.