Newcastle upon Tyne

Newcastle ni mji wa Uingereza ulio kando ya mto Tyne. Mji una watu wengi: takriban wakazi 271,600 wanaishi mjini huko.

Sehemu ya Mji wa Newcastle upon Tyne



Newcastle upon Tyne
Newcastle upon Tyne is located in Uingereza
Newcastle upon Tyne
Newcastle upon Tyne

Mahali pa mji wa Newcastle upon Tyne katika Uingereza

Majiranukta: 54°58′0″N 1°36′0″W / 54.96667°N 1.60000°W / 54.96667; -1.60000
Nchi Uingereza
Mkoa Uingereza Kaskazini-Mashariki
Wilaya Tyne na Wear
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 271,600
Tovuti:  www.newcastle.gov.uk

Jiji hili lilikua baada ya kuongozwa na Waroma na likaitwa the Castle na Robert Curthose.

Vivutio jijini hapa hariri

Unapotembea jijini Newcastle, hutokuwa umetembea sana kama hutoangalia Seven Bridges zenye mvuto mkubwa sana. Kulingana wa wovuti wa, pahala pengine penye mvuto mkubwa zaidi jijini Newcastle ni Eldon Square Shopping Centre. Hapa utaweza kununua vitu unavyotaka kwa bei rahisi na pia uweze kuangalia wachuuzi mbalimbali na uone watu wengi walio kwa hii shopping centre.

Great North Museum, Hancock ni pahala pengine penye mvuto mkubwa. Hapa utaweza kuona vitu mbali mbali vilivyo kwa hii museum na pia uweze kujua historia ya jiji hili la Newcastle.

Life Science Centre ni mahala kwingine ambapo utaweza kujua mengi kuhusu sayansi katika Newcastle. Katika Life Science Centre utaweza kupitia kwa 4D motion ride.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Newcastle upon Tyne kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.