Niğde ni mji mkuu wa Jimbo la Niğde huko nchini Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi takriban 99,308.

Niğde
Nchi Uturuki
Mkoa Anatolia ya Kati
Jimbo Niğde
Idadi ya wakazi (2005)
 - Wakazi kwa ujumla 99,308
Tovuti:  www.nigde.gov.tr
Niğde, from the castle

Mji upo m 1,300 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Niğde kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.