Nikolaas Tinbergen

Nikolaas Tinbergen (15 Aprili 190721 Desemba 1988) alikuwa mwanazuolojia kutoka nchi ya Uholanzi lakini alikata uraia wa Uingereza mwaka wa 1955. Hasa alichunguza tabia za wanyama mbalimbali. Mwaka wa 1973, pamoja na Karl von Frisch na Konrad Lorenz alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Nikolaas Tinbergen
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nikolaas Tinbergen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.