Nores (mwanamuziki)

Mwanamuziki wa Morroco

Dourouf El Guaddar ( alizaliwa 16 Aprili, 1979) anajulikana kwa jina la sanaa kama Nores, ni rapa wa Moroko na mtayarishaji wa muziki. [1]

Maisha ya awali hariri

Nores alizaliwa mnamo 16 Aprili 1979 huko Salé, Morocco . [2]

Kazi hariri

Nores aliingia kwenye Hip Hop katikati mwa 1995. Mnamo 1997, alianzisha pamoja na waimbaji kundi la rap la Siouf El Borj ambalo lilikuwa na mafanikio ya awali hadi hapo washiriki wake walipotengana mwaka 1999. Mnamo 2006, alitoa pamoja albamu na DBF, DJ VAN, na Thug Face yenye jina la Mgharba 'Tal Moute . Alitayarisha wasanii wengine wengi wa hip hop nchini Morocco wakiwemo kama vile Fatiwizz, Majesticon, Loubna, Tar, Sator na Rabat Crew. Mnamo 2007, alitoa albamu yake ya kwanza "Bit Ennar" iliyokuwa na nyimbo 17. [3] [4]

Marejeo hariri

  1. Nores Prod. "Bio—Nores Production Officiel". Nores Prod Official Wesbsite. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-04. Iliwekwa mnamo 11 September 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Medi1TV Morocco. "Then GEN10 Program". Medi1TV Morocco. Iliwekwa mnamo 11 September 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Le Matin Editorial (12 August 2007). "Le rappeur Nores achève son premier album". Journal Le Matin Maroc. Iliwekwa mnamo 11 September 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "BIOGRAPHIE - Nores" (kwa French). RAP04 La Communauté du Hip Hop. Iliwekwa mnamo 20 September 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nores (mwanamuziki) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.