Norrköping ni mji kubwa nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa kumi katika nchi wa Uswidi. Kuna wakazi 83,561 (mwaka 2005). Iko kando ya Mto Motala. Kuna bendi simfoni, uwanja wa ndege na tawi la Chuo Kikuu cha Linköping

Ukumbi wa Norrköping

Jiografia hariri

Eneo lake ni 34.78 km².

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Norrköping kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.