Nunilona na Alodia
Nunilona na Alodia (Huesca, Hispania - Huesca, 851) walikuwa mabinti wadogo, watoto pacha wa baba Mwislamu na mama Mkristo waliouawa kwa upanga na mtawala wa eneo hilo, Abd-ar-Rahman II kwa sababu ya kukiri hadharani imani ya Kikristo na hivyo kuhesabiwa na ndugu wa baba na serikali kama waasi[1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Marejeo hariri
- Catlos, Brian A. The Victors and the Vanquished: Christians and Muslims of Catalonia and Aragon, 1050–1300. Cambridge: Cambridge University Press, 2004. ISBN 0-521-82234-3.
- Collins, Roger. The Basques. London: Blackwell Publishing, 1990. ISBN 0-631-13478-6.
Viungo vya nje hariri
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |