Nyambeni Hills ni volkeno ya kale yenye kimo cha mita 2,427 juu ya UB.

Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Isiolo.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri