Nyanja za lugha ni hasa mbili kuu, ambazo ni:

Sarufi hariri

Ni mfumo wa kanuni na taratibu za lugha zinazomwezesha mzawa au mtumiaji wa lugha kuweza kuitumia lugha hiyo kwa ufasaha.

Tanzu za sarufi hariri

Sarufi muundo hariri

Ni utanzu wa sarufi unaojishughulisha na muundo wa maneno katika tungo.

Sarufi matamshi hariri

Ni utanzu wa sauti unaojishughulisha na matamshi au vitamkwa katika lugha, KWA mfano a, b, c n.k.

Sarufi maumbo hariri

Ni utanzu wa sarufi unaojishughulisha na maumbo ya maneno katika tungo.

Sarufi maana hariri

Ni utanzu wa sarufi unaojishughulisha na maana mbalimbali za maneno katika tungo.

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyanja za lugha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.