Oksana Shachko

Msanii wa Kiukreni na mwanaharakati na FEMEN

Koksana Shuchko (alizaliwa 31 Januari 1987 - 23 Julai 2018) alikuwa msanii na mwanaharakati wa nchini Ukraine. Akiwa pamoja na Anna Hutsol na Alexandra Shevchenko, waliazisha kikundi cha kutetea haki za wanawake cha Femen, na kujionyesha hadharani kwa ajili ya kutetea kuhusu unyanyasaji wa kingono, ukosefu wa usawa na sera za Kanisa Katoliki.[1]

Oksana Shachko

Marejeo hariri

  1. "A MEETING WITH OKSANA SHACHKO - CRASH Magazine", CRASH Magazine, 25 July 2018. (en-US) 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oksana Shachko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.