Oldoinyo Nyukie ni kasoko ya volkeno yenye kimo cha mita 1,892 juu ya usawa wa bahari.

Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Kajiado, Kenya[1][2].

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. www.volcanolive.com
  2. http://wikimapia.org