Olmotonyi ni kata ya Wilaya ya Arusha Vijijini katika Mkoa wa Arusha, Tanzania, yenye postikodi namba 23214.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 13,345 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,560 [2] walioishi humo.

Utalii hariri

Olmotonyi ina vivutio vya utalii ikiwemo hifadhi ya misitu ya Meru yenye wanyama aina tofauti, kama vile tembo, nyani, swala n.k.

Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Arusha - Arusha Vijijini DC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-20. 
  Kata za Wilaya ya Arusha Vijijini - Mkoa wa Arusha - Tanzania
 

Bangata * Bwawani * Ilboru * Ilkiding'a * Kimnyak * Kiranyi * Kisongo * Kiutu * Laroi * Lemanyata * Lengijave * Mateves * Mlangarini * Moivo * Musa * Mwandet * Nduruma * Oldonyosambu * Oldonyowass * Oljoro * Olmotonyi * Oloirien * Olturumet * Olturoto * Sambasha * Sokon II * Tarakwa


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Olmotonyi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.