Omar Belbachir (alizaliwa 13 Desemba 1980 huko Bordeaux, Ufaransa) ni mwanasoka wa Ufaransa na Algeria.Omar Kwa sasa anachezea ligi ya Championnat de France amateur kayika kabu ya Stade Bordelais.[1]

Marejeo hariri

  1. "Omar Belbachir fiche Omar Belbachir. Football - L'Equipe.fr". www.lequipe.fr (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2018-02-05. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Omar Belbachir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.