Omar Borkan Al Gala

Omar Borkan Al Gala (aliyezaliwa Septemba 23, 1989) ni mwanamitindo, mwigizaji na mpiga picha wa Iraq - Falme za Kiarabu.

Al Gala mnamo 2018
Al Gala mnamo 2018

Alipata kuwa maarufu zaidi duniani mwaka 2013 baada ya kufukuzwa kutoka Saudia kwa kudai kuwa "mzuri sana", hadithi ambayo ilisambaa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Omar Borkan Al Gala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.