OpenStreetMap (OSM) ni mradi shirikishi wa uundaji wa ramani haririfu na huria ya dunia. Ramani zinaumbwa kwa kutumia data kutoka kwenye kachombo kadogo cha mfumo wa GPS, yaani inachukua picha za hewani na vyanzo vingine huria.

OpenStreetMap Logo
OpenStreetMap Cape Town
GPS

Viungo vya Nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: