Oportuna (alifariki 22 Aprili 770) alikuwa bikira nchini Ufaransa, aliyeingia mapema katika monasteri ya Wabenedikto, iliyoongozwa na Lantildis, mtoto wa ndugu wa mzazi wake, alimrithi kama abesi akaongoza kwa upole mkubwa[1][2], ingawa mwenyewe alishika maisha magumu ya kujinyima sana [3][4].

Njozi yake wakati wa kufariki dunia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Aprili[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Jones, Terry. "Opportuna". Saints.SQPN.com. Iliwekwa mnamo 2012-02-25. 
  2. Rabenstein, Katherine (April 1999). "Opportuna of Montreuil, OSB". Saints O' the Day for April 22. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo February 6, 2007. Iliwekwa mnamo 2012-02-24.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate= (help)
  3. A Vita et miracula Sanctae Opportunae was written within a century of her death (ca 885-88) by Adalhelm (later rendered Adelin), bishop of Séez, who believed he owed his life and his see to Opportuna. Cfr. Julia M. H. Smith, "The Problem of Female Sanctity in Carolingian Europe c. 780-920" Past and Present No. 146 (February 1995), pp. 3-37.
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/50340
  5. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.