Orodha ya mito ya Eritrea
Mito ya Eritrea ni mingi, si chini ya 240; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto:
- kulingana na beseni lake (kadiri inavyoelekeza maji yake katika Bahari ya Kati au katika Bahari ya Shamu)
- kadiri ya alfabeti.
Kadiri ya beseni hariri
Bahari ya Kati hariri
- Nile (Misri, Sudan)
- Mto Atbarah (Sudan)
Bahari ya Shamu hariri
Kwa utaratibu wa alfabeti hariri
Baadhi ya mito huenda ikaorodheshwa mara mbili kwa tahajia tofauti kidogo.
Viungo vya nje hariri
Wikimedia Commons ina media kuhusu: