Orso wa Auxerre (pia: Ours, Urse, Ursus; karne ya 5 - 508) alikuwa mkaapweke ambaye uzeeni alifanywa askofu wa Auxerre katika Ufaransa wa leo baada ya kuepusha mji huo na moto kwa sala zake[1][2].

Aliongoza jimbo kuanzia mwaka 502 hadi kifo chake miaka sita baadaye[1][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Julai[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.