Pär Lagerkvist (23 Mei 189111 Julai 1974) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Sweden. Mwaka wa 1951 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Pär Lagerkvist


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pär Lagerkvist kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.