Pachuca (jina rasmi: Pachuca de Soto) ni mji mkuu na pia mji mkubwa katika jimbo la Hidalgo upande wa kati - kusini ya jimbo. Idadi ya wakazi ni 275,578 na eneo lake ni 158 m. Umbali na Jiji la Mexico ni 94 km.

Sehemu ya Mji wa Pachuca, Hidalgo



Jiji la Pachuca
Nchi Mexiko
Jimbo Hidalgo
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 275,578
Tovuti:  www.pachuca.gob.mx
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pachuca, Hidalgo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.