Papa Adrian III alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Mei 884 hadi kifo chake mnamo Agosti/Septemba 885[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2][3] .

Papa Adrian III

Feast

Alimfuata Papa Marinus I akafuatwa na Papa Stefano V.

Katika mwaka wa Upapa wake alijitahidi kusaidia watu wa Italia walioteseka kwa vita na njaa[4].

Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mtakatifu tarehe 2 Juni 1891.

Sikukuu yake ni 8 Julai[5].

Tazama pia hariri

Maandishi hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.