Papa Adrian V (takriban 120518 Agosti 1276) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Julai 1276 hadi kifo chake[1]. Alitokea Genova, Italia[2].

Papa Adriano V.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ottobuono Fieschi.

Alimfuata Papa Inosenti V akafuatwa na Papa Yohane XXI.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.