Papa Alexander IV (takriban 119925 Mei 1261) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12/20 Desemba 1254 hadi kifo chake[1]. Alitokea Jenne, Roma, Italia[2].

Papa Aleksanda IV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Rinaldo. Alikuwa mpwa wa Papa Gregori IX.

Alimfuata Papa Inosenti IV akafuatwa na Papa Urbano IV.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.