Papa Benedikto XI
Papa Benedikto XI, O.P. (1240 – 7 Julai 1304) alikuwa Papa kuanzia tarehe 22/27 Oktoba 1303 hadi kifo chake[1]. Alitokea Treviso, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nicola wa Boccasio.
Alimfuata Papa Bonifasi VIII akafuatwa na Papa Klementi V.
Tarehe 24 Aprili 1736 Papa Klementi XII alimtangaza mwenye heri.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |