Papa Benedikto XIV

Papa Benedikto XIV (31 Machi 16753 Mei 1758) alikuwa Papa kuanzia tarehe 17/22 Agosti 1740 hadi kifo chake[1]. Alitokea Bologna, Italia[2]. .

Papa Benedikto XIV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Prospero Lorenzo Lambertini.

Alimfuata Papa Klementi XII akafuatwa na Papa Klementi XIII.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto XIV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.