Papa Gregori IX (takriban 114322 Agosti 1241) alikuwa Papa kuanzia tarehe 19/21 Machi 1227 hadi kifo chake[1]. Alitokea Anagni, Italia[2].

Papa Gregori IX.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ugolino wa Segni.

Alimfuata Papa Honori III akafuatwa na Papa Selestini IV.

Rafiki wa Fransisko wa Asizi, alifanywa kardinali mlinzi wa shirika la Ndugu Wadogo akatabiriwa naye Upapa.

Baada ya utabiri kutimia, ndiye aliyemtangaza mtakatifu huko Assisi mwaka 1228.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.