Papa Gregori XI (takriban 133626 Machi 1378) alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Desemba/3 Januari 1370 hadi kifo chake[1]. Alitokea Rosiers de d'Egletons, Ufaransa[2].

Papa Gregori XI.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre Roger de Beaufort.

Alimfuata Papa Urbano V akafuatwa na Papa Urbano VI.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.