Papa Gregori XV (9 Januari 15548 Julai 1623) alikuwa Papa kuanzia tarehe 9/14 Februari 1621 hadi kifo chake[1]. Alitokea Bologna, Italia[2].

Papa Gregori XV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alessandro Ludovisi.

Alimfuata Papa Paulo V akafuatwa na Papa Urbano VIII.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori XV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.