Papa Gregori XVI, O.S.B.Cam. (18 Septemba 17651 Juni 1846) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2/6 Februari 1831 hadi kifo chake[1]. Alitokea Belluno, Italia[2].

Papa Gregori XVI.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bartolomeo Alberto Cappellari.

Alimfuata Papa Pius VIII akafuatwa na Papa Pius IX.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori XVI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.