Papa Julius II

Papa, 1503-1513

Papa Julius II (5 Desemba 144321 Februari 1513) alikuwa Papa kuanzia tarehe 1 Novemba/26 Novemba 1503 hadi kifo chake[1]. Alitokea Albisola, Italia[2].

Papa Julius II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giuliano della Rovere.

Alimfuata Papa Pius III akafuatwa na Papa Leo X.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Julius II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.