Papa Leo VII, O.S.B. alikuwa Papa kuanzia mwezi Januari 936 hadi kifo chake tarehe 13 Julai 939[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Papa Leo VII.

Alimfuata Papa Yohane XI akafuatwa na Papa Stefano VIII.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.