Papa Paskali II, O.S.B. (alifariki 21 Januari 1118) alikuwa Papa kuanzia tarehe 13/14 Agosti 1099 hadi kifo chake[1]. Alitokea Bleda au Galeata, Forlì, Italia[2].

Papa Paskali II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ranierius.

Alimfuata Papa Urbano II akafuatwa na Papa Gelasio II.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Paskali II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.