Papa Paulo IV

Papa wa kanisa la katoliki 1555-1559

Papa Paulo IV (28 Juni 147618 Agosti 1559) alikuwa Papa kuanzia tarehe 23/26 Mei 1555 hadi kifo chake[1]. Alitokea Capriglia, Avellino, Italia[2].

Papa Paulo IV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gian Pietro Carafa. Alimsaidia Gaetano wa Thiene kuanzisha shirika la Wateatini.

Alimfuata Papa Marcello II akafuatwa na Papa Pius IV.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Paulo IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.