Papa Paulo V (17 Septemba 155028 Januari 1621) alikuwa Papa kuanzia tarehe 16 Mei/29 Mei 1605 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Papa Paulo V.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Camillo Borghese.

Alimfuata Papa Leo XI akafuatwa na Papa Gregori XV.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Paulo V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.