Papa Soter alikuwa Papa kuanzia takriban mwaka 162/168 akaendelea hadi kifo chake mwaka 170/177)[1][2]. Alitokea Fondi, Italia[3].

Papa Soter

Alimfuata Papa Anicetus akafuatwa na Papa Eleutero.

Katika barua iliyotufikia, Denis wa Korintho alimsifu kwa ukarimu wake mkubwa kwa Wakristo waliofukuzwa au kupelekwa migodini kufanya kazi ya shokoa[4].

Soter anatajwa kwa kutamka kuwa ndoa ya Kikristo ni halisi ikiwa tu sakramenti iliyobarikiwa na padri na kwa kuanzisha Pasaka kama sherehe ya kila mwaka mjini Roma.[5]

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Aprili[6].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Annuario Pontificio 2012 (Libreria Editrice Vaticana, ISBN 978-88-209-8722-0), p. 8*
  3. "Biography: Pope Soter". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-10-09. Iliwekwa mnamo 2022-03-21. 
  4. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana 2001 ISBN|88-209-7210-7)
  5. Pope Saint Soter » Saints.SQPN.com
  6. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Soter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.