Papa Zosimus alikuwa Papa kuanzia tarehe 18 Machi 417 hadi kifo chake tarehe 26 Desemba 418[1]. Alikuwa na asili ya Ugiriki.

Mt. Zosimo.

Alimfuata Papa Innocent I akafuatwa na Papa Boniface I.

Alikuwa na tabia kali iliyochangia migongano Roma na sehemu mbalimbali za Kanisa la Magharibi.

Hata hivyo, tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Desemba[2].

Tazama pia hariri

Maandishi yake hariri

Tanbihi hariri

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Vyanzo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Zosimus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.