Pasargadi
Pasargadi (pia: Pasargadae, fa. پاسارگاد pasargad) ni mahali pa kihistoria katika jimbo la Fars nchini Uajemi (Iran). Hapa ilikuwepo mji mkuu wa Koreshi Mkuu aliyeanza kuijenga mnamno mwaka 546 KK baada ya kuunganisha Umedi na Uajemi. Wakati ule Koreshi alijiita "Mfalme wa Wamedi na Waajemi" alitaka kuwa na mji mkuu katika kila kati ya sehemu mbili za ufalme wake akitumia Ekbatana kama mji mkuu katika Umedi wakati wa joto na alianzisha Pasargadi kama mji wake katika sehemu ya uajemi kwa ajili ya majira ya baridi.
Hadi kifo cha Koreshi ujenzi wa mji haukukamilishwa bado; wafuasi waliendelea lakini mfalme Dario I alianzisha mji mkuu mpya katika Persepolis.
Kati ya maghofu kuna kaburi 1 iliyotunzwa vizuri na kuaminiwa ni kaburi la Koreshi Mkuu.
Picha za Pasargadi hariri
-
Kaburi la Koreshi Mkuu
-
Maghofu ya Pasargadi inayoitwa leo "gereza la Suleimani".
-
Ukumbu mkuu wa ikulu ya Pasargadi.
-
Boma la Pasargadi.
Viungo vya Nje hariri
- "Pasargadae Excavation Documentation and Fragments of Wall Paintings from Pasargadae", Freer Gallery of Art, Washington, DC: Smithsonian Institution, ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-06-07, iliwekwa mnamo 2012-12-27.
- "Records of Pasargadae", Ernst Herzfeld Papers, 5: Drawings and Maps, Washington, DC: Collections Search Center, S.I.R.I.S., Smithsonian Institution, ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-27, iliwekwa mnamo 2012-12-27.
- Lunar eclipse in Pasargadae (slideshow), Photoparsi, ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-12-09, iliwekwa mnamo 2012-12-27.
- Tall_e Takht (pictures), ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-01-18, iliwekwa mnamo 2012-12-27.
- World Heritage Center, Unesco.
- "Pasargadae", History, Iran Chamber Society.
- "European languages", Save Pasargadae From Destruction, ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-11, iliwekwa mnamo 2012-12-27
- "Pasargad", Land of Aryan, ATSpace.
- Pasargad (virtual reconstruction of Pasargadae), Persepolis3D.
- Persepolis & Pasargad (photo gallery) (kwa German), M Heße, 2009, ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-20, iliwekwa mnamo 2012-12-27.
- Pasargadae, Ancient History Encyclopedia
- Pasargadae, Cultural Heritage Organization of Iran, ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-07, iliwekwa mnamo 2012-12-27